Afrika Ya Mashariki - Kuzinduliwa rasmi kwa Elimu ya Juu katika nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Share:

Listens: 0

Afrika Ya Mashariki

Miscellaneous


Leo tunaangazia  makubaliano ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika  Mashariki waliokutana hivi karibuni jijini Dar es salaam nchini Tanzania na kuidhinisha rasmi Elimu ya juu ya  pamoja ndani ya nchi wanachama. Hii inamaanisha nini ? Karibu sana.