Habari RFI-Ki - Mskilizaji ana maoni gani kuhusu kufungwa kwa kambi za Kakuma na Dadaab?

Share:

Listens: 0

Habari RFI-Ki

Miscellaneous


Serikali ya Kenya, Kupitia kwa waziri wake wa usalama wa ndani, imetoa makataa ya siku 14 kwa kambi za wakimbizi za Kakuma na Dadaab kufungwa, waziri Fred Matiang'i akisema hilo limechangiwa na wimbi la tatu la virusi vya corona na mbali na swala la usalama, serikali ikihofia kuwa huenda hali ikawa mbaya iwapo  Haya hapa baadhi ya maoni ya waskilizaji.