Habari RFI-Ki - Uingereza yataka vyeti maalum vya chanjo ya Corona

Share:

Listens: 0

Habari RFI-Ki

Miscellaneous


Uingereza imetangaza kuwa kufikia mwisho mwaka 2021 ,kadi za kuthibitisha umechomwa chanjo ya kuzuia Corona ,zitakuwa inatumika kama vile passpoti ? Unazungumziaje hatua ya Uingereza na unadhani itakuwa njia mbadala ya kuondoa masharti makali ya kupambana na Corona ?