Habari RFI-Ki - Wabunge nchini Somalia wamwongezea muda wa kutawala rais Farmajo

Share:

Listens: 0

Habari RFI-Ki

Miscellaneous


Rais wa Somalia Mohammed Farmajo, ametia saini mswada unaompa uwezo wa kusalia madarakani kwa kipindi cha miaka mingine miwili ikiwa ni baada ya bunge kuidhinisha hatua hiyo, suala ambalo limekashifiwa na Umoja wa Ulaya. Unazunguziaje hatua hii ya Rais Farmajo?