Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Dunia yaukaribisha mwaka mpya wa 2020, serikali ya DRC yaahidi amani, mkuu wa majeshi wa Irani auawa

Share:

Listens: 0

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Miscellaneous


Makala hii imeangazia namna ambavyo mamia kwa maelfu ya watu kote duniani walivyou karibisha mwaka mpya wa 2020, hali ya usalama kuendelea kuzorota wilayani Beni mashariki mwa DR Congo, wakati Kenya imeimarisha usalama huko Lamu, na kiongozi wa upinzani ashinda uchaguzi wa hivi karibuni, kimataifa kuuawa kwa mkuu wa majeshi ya mapinduzi Irani, na mgomo wa wafanyakazi waendelea Ufaransa