Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Watanzania waomboleza kifo cha rais wao, Bobi wine akamatwa Uganda, watu 30 wauawa DRC

Share:

Listens: 0

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Miscellaneous


Ni wiki ambayo raia watanzania, wanaomboleza kifo cha rais wao Joseph Magufuli ambaye alikuwa hajaonekana hadharani  kwa zaidi ya wiki mbili baada ya kusambaa kwa uvumi kuwa alikuwa anaumwa maradhi ya moyo kwa mujibu wa tangazo la serikali, nchi za Jumuia ya afrika mashariki zaomboleza pamoja na Tanzania, huko Uganda kiongozi wa upinzani alikamatwa wakati tume ya Monusco huko DRC juma hili iliahidi kuimarisha usalama mashariki mwa nchi hiyo, kimataifa tumeangazia makataa ya Nchini Ufaransa kwa muda wa wiki 4