Nyumba ya Sanaa - Reggae kurejea Afrika - Jah Bone D

Share:

Listens: 0

Nyumba ya Sanaa

Miscellaneous


Msanii wa Muziki wa Reggae kutoka nchini Rwanda, Jah Bone D, baada ya kuishi Uswizi kwa miaka zaidi ya 20 sasa anataka kurejesha muziki wa Reggae katika nchi za Afrika Mashariki.   Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Jah Bone D katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.