Nyumba ya Sanaa - Sanaa ya utengenezaji wa vibonzo

Share:

Listens: 0

Nyumba ya Sanaa

Miscellaneous


Utengenezaji wa picha jongefu ni Sanaa nyingine inayoibuka kwa kasi nchini Tanzania, Wachoraji wanatumia vipaji vyao kusanifu Michoro inayosimulia hadithi  kwa njia ya video fupi ilitengenezwa kwa kutumia katuni, Je Sanaa hiyo ikoje? Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya ya Nyumba ya Sanaa.