Wafanyakazi wa huduma ya uzeeni wapewa kipaumbele kuchanjwa jimboni Victoria

Share:

Listens: 0

SBS Swahili - SBS Swahili

Miscellaneous


Jimbo la Victoria limerekodi kesi mpya tatu za COVID-19, wakati orodha ya maeneo hatari ya maambukizi inaendelea kuongezeka jijini Melbourne.