Wimbi la Siasa - Kampeni za DRC zakumbwa na vurugu

Share:

Listens: 0

Wimbi la Siasa

Miscellaneous


Siku 10 kuelekea Uchaguzi Mkuu nchini DRC, mauaji yameripotiwa katika kampeni za siasa hasa katika mikutano ya Martin Fayulu, mgombea vya vyama upinzani lakini pia kuteketea moto kwa jengo la kuhifadhi vifaa vya kupigia kura jijini Kinshasa. Tunajadili hili kwa kina.