Wimbi la Siasa - Uchaguzi Mkuu wa DRC wahairishwa

Share:

Listens: 0

Wimbi la Siasa

Miscellaneous


Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo uliokuwa umepangwa kufanyika tarehe 23 mwezi Desemba, sasa umeahirishwa hadi tarehe 30 baada ya kuteketea kwa ghala la kuhifadhi vifaa vya kupigia kura jijini Kinshasa.