Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
Imetimia miaka 13 tangu bara la Afrika kuridhia tamko la demokrasia, utawala bora na chaguzi huru za haki. Tunaangazia tamko hilo na wajibu wa viongoz...
Mara kadhaa katika mataifa ya Afrika kumeripotiwa matukio ya kuvunjika kwa uchumba baina ya mwanaume na mwanamke waliokuwa na matarajio ya kufunga ndo...
Dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake na wasichana huku kundi hili likikabiliwa na changamoto mbal;imbali kama ndo...
Makala ya Jua haki zako wiki hii inaangazia haki za mwajiri na mwajiriwa kulingana na mikataba ya kimataifa, kikanda na sheria za nchi mbalimbali. Ung...
Matukio ya ukatili wa kijinsia bado ni changamoto katika mataifa ya Afrika mashariki na kati, tunaangazia namna utafiti na sheria zinavyoweza kusaidia...
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inajadili kuhusu uwepo wa vituo vya kutesea ambavyo vimetengenezwa kwa siri na serikali mbalimbali duniani kwa lengo...
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaidadavua kwa kina ripoti ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania LHRC kuhusu ukatili wa kingono d...
Makala ya Jua Haki Zako juma hili inazungumza na wanaharakati wa nchini Tanzania ambao wanafanya sanaa ya muziki na wanatumia muziki kufikisha ujumbe ...