Mazazi Ya Mtume Amani Iwe Juu Yake
Share:

Listens: 1

About

Mada hii inazungumzia bidaa ya kusherehekea maulidi, madahii inazungumzia asili ya maulidi, maana yake, hukumu ya maulidi, historia ya maulidi, na mwanzo wa maulidi, africa mashariki.