Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Share:

Listens: 16

About

Mission Europe ni somo la lugha lenye sehemu tatu: Mission Berlin, Misja Kraków na Mission Paris. Jitose kwenye bahari ya lugha ujifunze, Kijerumani.

Mission Berlin 25 – Vurugu

Muda unayoyoma na Anna anamuaga Paul kabla ya kurejea tarehe 9 Novemba mwaka 2006. Atakapowasili atakuwa amebakiwa na dakika tano pekee. Je zitatosha?...
Show notes

Mission Berlin 22 – Endelea

Anna anapelekwa mwaka 1989 na anafika katika jiji ambalo lina kizaazaa cha kuanguka Ukuta. Anahitajika kupitia umati mkubwa wa watu ili apate kasha la...
Show notes