Noa Bongo – Uchumi na Mazingira
Share:

Listens: 23

About

Katika mfululizo wa vipindi vyetu utapata fursa ya kujifunza kuhusu masuala ya uchumi na biashara pamoja na mazingira.

Ufisadi - Tembo chumbani

Iwe shuleni, kazini au hata barabarani, familia ya Odhiambo inajikuta ikishinikizwa na athari za ufisadi licha ya juhudi za kutaka kuishi maisha huru ...
Show notes