Shahidi Wa Umati Muhhamad
Share:

Listens: 2

About

Mada hii inazungumzia vitisho vya siku ya qiyama na atakae kuwa nishahidi wa ummati muhamad siku ya qiyama,na sababu ya kuchaguliwa mtume kuwa shahidi wa umati muhammadi.