Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) zaidi ya wasichana na wanawake milioni 4 ulimwenguni wanaishi na tatizo la Fistula huku wanawake kati ya ...
Makala ya siha njema juma hili inaangazia mlo bora kwa watu wasio na matatizo kiafya,ikiwa ni mwanzoni mwa mwaka jamii inashauriwa kuwa na maazimio ya...
Karibu kujifunza kuhusu homa ya Dengue ambayo dalili zake ni homa ya ghafla, kuumwa kichwa, maumivu ya viungo na uchovu ...kufahamu mengi zaidi tege...
Karibu kuangazia umuhimu wa lishe bora kwa watoto,wataalamu wa afya kutoka jijini Dar es salaam wanaangazia maana ya lishe na kwa vipi jamii inaweza k...
Malaria bado ni tishio katika mataifa yanayoendelea hasa katika bara la Afrika,tunaangazi augonjwa huu wakati huu dunia ikiadhimisha siku ya malaria y...
Ripoti ya Shirika la afya duniani WHO kuhusu ongezeko la visa vipya vya saratani na vifo. Sabina Mpelo ameakuandalia makala hii kwa kuzungumza na watu...
Jamii imetakiwa kuwasaidia waathirika wa fistula badala ya kuwabagua na kuwanyanyasa.Tatizo la Fistula linatibika kwa nchini Tanzania matibabu hutolew...
Makala ya siha njema juma hili inaangazia usonji,kitaalamu Autism ambapo shuhuda Lucy Ruhasha mtanzania anasimulia namna alivyogundua tatizo hilo kwa ...