Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
Hatimaye Prosefa Omar aokolewa,watekaji nyara watiwa nguvuni na Kwame apongezwa na kila mtu kwa ushujaa wake wa kufatilia hadi kufanikisha Profesa Om...
Kwame na polisi wanakubaliana kumtanguliza Kwame mahali aliposhikiliwa Profesa Omar ili kuhakikisha usalama wake kabla ya kumuokoa na kuwatia nguvuni ...
Kwamé na Nathalie wanatafuta kufungua jalada ya kompyuta ya mkononi ya Profesa Omar,ili wajue siri iliyopo nyuma ya kutekwa nyara kwa Profesa huyo, je...
Katika makala haya tutamuona kwame akipata mkanganyiko baada ya kumuona mtu aliyemdhania kuwa ni rafiki wa profesa Omar, je ni nani mtu huyo? na nini ...