Unafahamu Maana Ya Ibada ?
Share:

Listens: 2

About

Mada hii inazungumzia ufafanuzi kuhusu maana halisi ya ibada,na mtizamo mbaya ju ya maana ya ibada,na lengo la kuumbwa mwanadamu,na lengo la kutumwa mitume alayhimu ssalam