Unaufahamu usiku wa cheo ?
Share:

Listens: 2

About

Mada hii inazungumzia fadhila za usiku wa Laylatulqadri na jinsi ya kuutafuta usiku huo,na Dua inayo takiwa kusemwa pindi muislam atakapo uona usiku huo.