Wieso nicht? | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Share:

Listens: 15

About

Kijerumani: Masuala ya uhusiano, daktari wa meno, matatizo ya kuishi pamoja na ununuzi. Makala ishirini za sauti za kukufaa katika maisha ya kila siku. Masomo haya yananuiwa kupanua ufahamu wa Kijerumani chako.

Somo 20

Kuyaogopa maumivu au vipi nilijuana na Graf Alucard
Show notes

Somo 19

Hakuna tena saladi au vipi konokono hutambaa katika ndoto yangu
Show notes

Somo 18

Saisa ya konokono au vipi tuliwafukuza konokono kutoka bustani yetu
Show notes

Somo 17

Simu jikoni au vipi mnyama pori huyo aliendelea kukaa na njaa
Show notes

Somo 16

Mnyama pori tumboni au vipi niliwapikia wenzangu katika WG
Show notes

Somo 15

Maskani mapya au vipi saa yangu ya kuniamsha ilifanya kazi tena
Show notes

Somo 14

Kutengeneza hakusaidii au vipi nilivunja uhusiano na rafiki yangu
Show notes

Somo 12

Sherehe ya kijijini au vipi alipata maumivu ya kichwa
Show notes

Somo 11

Hesabu kondoo au vipi Kasper alilala huku akivua samaki
Show notes