Afrika Ya Mashariki - Maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo (sehemu ya pili)

Share:

Listens: 0

Afrika Ya Mashariki

Miscellaneous


Makala hii ya Afrika ya Mashariki inaangazia sehemu ya pili kuhusu maendeleo ya kijamii katika kijiji cha  Kogelo, kaunti ya Siaya magharibi mwa Kenya, alipozaliwa baba yake Barack Obama , rais wa Marekani. Utamsikia bibi Sarah Onyango Obama, mama mzazi wa baba wa rais wa Marekani Barack Obama, anazungumziaje kuhusu chimbuko la kiongozi huyo wa Marekani.