Afrika Ya Mashariki - Shule zaitwa “Yeboyebo” Tanzania

Share:

Listens: 0

Afrika Ya Mashariki

Miscellaneous


Makala ya Afrika Mashariki inaangazia juu ya changamoto kwenye sekta ya elimu nchini Tanzania, ambapo baadhi ya shule nyingi za serikali ngazi ya kata zimegeuzwa na kuitwa  “ Yeboyebo”, na kwa upande mwingine makala haya yanagusia shule binafsi zenye hadhi za kimataifa.