MAFURIKO KISUMU: WAKAAZI WAOMBWA KUHAMIA MAENEO YA JUU

Share:

Listens: 18

Voice Of Philip Miyawa

News & Politics


Wakaazi wanaoishi katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika kaunti ndogo za Nyando na Kadibo huko Kisumu wametakiwa kuhamia katika maeneo salama na vituo vya uokoaji . Ombi hili lilitolewa na Kaimu Kamishna wa Kaunti ya Kisumu Hussein Alanson Hussein ambaye aliongoza timu ya Kamati ya Usimamizi wa mikasa ya dharura ya Kaunti kutathmini athari za mafuriko katika maeneo hayo.


Philip Miyawa ana zaidi...........