Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Juu ya Reporti ya UN ya Namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

Share:

Listens: 0

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Miscellaneous


Suala la Mabadiliko ya tabia nchi limekuwa ni miongoni mwa ajenda kuu za Umoja wa Mataifa na jumuiya ya kimataifa kwa mwaka 2014, Katibu Mkuu Ban Ki- Moon amekuwa mstari wa mbele kupigia upatu suala hili na kuratibu mkutano uliowaleta pamoja viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho inagazia juu ya Reporti ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa juu namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi pamoja na kuelezea mikakati inayofanyika katika kukabiliana na janga hilo