Jifunze Kijapani | NHK WORLD-JAPAN
Share:

Listens: 24

About

Shirika la umma la Japani, NHK, linatoa kozi hii ya lugha ya Kijapani kupitia podcast, bila malipo. Jifunze misemo muhimu na kupata ufahamu wa kitamaduni kwa kusikiliza simulizi ya Tam, mwanafunzi wa kimataifa aliyesajiliwa katika chuo kikuu kimoja cha Japani.