Jifunze Kijapani - NHK WORLD RADIO JAPAN
Share:

Listens: 50

About

Shirika pekee la utangazaji la umma nchini Japani NHK, hutoa bure mafunzo haya yanayoaminika kwa huduma ya podcast. Unaweza kuanza kujifunza kwa urahisi sarufi ya msingi na misamiati kwa kusikiliza simulizi za Anna, anayejifunza Kijapani katika chuo kikuu kimoja jijini Tokyo. nhk.jp/lesson

Somo la 41: Kuelezea uwezekano

Usemi wa msingi: Nilifurahi kwa kuwa niliweza kwenda kwenye tamasha la chuoni. / Kuelezea uwezekano / Tanakali Sauti: Kwisha kwa uchovu au wasiwasi
Show notes