Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle
Share:

Listens: 16

About

Kijerumani cha biashara kwa wazungumzaji walioendelea: Marktplatz ni somo la Kijerumani linalokufunza jinsi ya kutekeleza biashara zako za kila siku na mambo ya kiafisi.

Sura 26

Maadili ya MashirikaMtindo wa uongozi, mfumo wa nyadhifa, mashirika yanavyojitambulisha: Jinsi makampuni yanavyowasiliana na kujiwasilisha.Mada: Mashi...
Show notes

Sura 25

Chama cha WafanyibiasharaMashauriano, taarifa, ushawishi: Jinsi uchumi wa Ujerumani unavyojisimamia na kujidhihirisha.Mada: Vyama vya kibiashara na ki...
Show notes

Sura 24

Uchukuzi wa ndani na utaratibu wa usafirishaji BandariniKontena, mifereji, ada za uchukuzi: Vipi na kwanini mizigo husafirishwa kwa kutumia mito na ba...
Show notes

Sura 23

Haki ya kufanya biasharaKugawana kazi, ushirikiano, usimamizi: Jinsi makampuni yanavyojitanua na kuendeleza utaalamu.Mada: Haki ya kufanya biashara, m...
Show notes

Sura 22

Mabadiliko ya kimuundo katika KilimoMaziwa, nafaka, ruzuku: Jinsi ambavyo sekta ya kilimo ilivyobadilika katika kipindi cha miongo kadha iliyopita.Mad...
Show notes

Sura 21

Viwanda vinavyobadilikaMakaa ya mawe, upungufu wa ajira: Jinsi Bonde la Ruhr nchini Ujerumani linavyoathiriwa na kutoweka kwa viwanda vya kiasili.Mada...
Show notes

Sura 20

Kukabiliana na Maji-takaVichafuzi, mitambo ya kusafisha maji-taka, kuondoa maji-taka: Jinsi ya kuhifadhi na kuhakikisha usafi wa maji.Mada: Maji-taka,...
Show notes

Sura 19

Kurundikana Kwa TakaTaka, kutumia upya bidhaa, uchumi shirikishi: Jinsi ya kupunguza taka na kulinda mazingira.Mada: Taka, kutumia upya bidhaa, usimam...
Show notes

Sura 18

Changamoto za Kitamaduni – Maonyesho ya Kibiashara mjini Cologne Uwasilishaji, mawasiliano, kuagiza: Jinsi ya kuwasilisha bidhaa kwenye sekta ya biash...
Show notes

Sura 17

Endelea Kusoma Barua za maombi, mafunzo ya kazi, vyeti: Mambo ambayo wafanyakazi wanaweza kuyafanya kuboresha ujuzi wao.Mada: Uwekevu, mafunzo ya kazi...
Show notes