Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Share:

Listens: 16

About

Paula na Philip ni wahariri wa Radio D wanaochunguza visa vya ajabu. Andamana na wachunguzi hawa shupavu kote Ujerumani na uimarishe Kijerumani chako na uwezo wa kusikiza na kuelewa pia.

Tukio 26 – Kumuaga Ayhan

Hali ya huzuni imetanda katika afisi za Radio D. Ayhan anawaaga wenzake na anarudi nchini Uturuki. Ingawa wafanyikazi wenzake wamemwandalia hafla ya k...
Show notes

Tukio 25 – Kuzikaribisha Meli

Waandishi habari hao wanajitahidi kuelewa kauli "getürkt" na wanazuru bandari isiyo ya kawaida ambako kila meli hukaribishwa kwa namna ya kipekee. Kat...
Show notes

Tukio 24 – Meza ya Mhariri

Bundi Eulalia anawasaidia Paula na Philipp kupata mwelekeo. Wanagundua kuwa wafanyikazi wenzao wa gazeti la Hamburg wanahusika kwenye ulaghai huo. Pau...
Show notes

Tukio 23 – Pezi la Papa

Paula na Philipp wanategua kitendawili cha mahali pa kwenda kumwangalia papa na kwa mara nyingine tena wanagundua ulaghai uliohusika. Hata hivyo mwanz...
Show notes

Tukio 21 – Papa katika Hamburg

Katika afisi ya Radio D hali ya joto imezidi mno. Paula na Philipp wanafurahi pale wanapopewa kazi ya kwenda pwani ambako papa ameonekana bandarini. P...
Show notes

Tukio 18 – Uchunguzi wa Usiku

Paula na Philipp wanataka kujua mbivu na mbichi kuhusu maumbo ya duara ya mimea na wanakwenda usiku kuchunguza. Lakini wanachokumbana nacho hakihusu v...
Show notes

Tukio 17 – Maduara ya Mimea

Paula na Philipp wanakwenda kuchunguza wakati maumbo ya duara yanapogunduliwa kwenye shamba la mahindi. Je kuna dude lililoanguka kutoka angani au kun...
Show notes