Taarifa ya Habari 7 Novemba 2021
Miji ya Darwin na Katherine yaongezewa vizuizi vya Coronavirus kwa masaa 24 ya ziada, baada ya kesi mpya kutambuliwa.
Kiongozi wa chama cha Nationals ambaye pia ndiye kaimu waziru mkuu Barnaby Joyce, ameweka wazi baadhi ya taarifa ambayo chama chake kili afiki na c...
Taifa la pembe ya Afrika la Sudan, limekumbwa kwa maandamano dhidi ya mapinduzi yakijeshi ambayo yame waacha watukadhaa majeruhi nawengine wengi ku...
Wiki iliyo pita nchini Australia, ilikuwa wiki yakutoa uelewa wa matatizo ya mchezo wa kamari.
Serikali ya shirikisho yajitetea baada yakushtumiwa kwa uzembe, kwa kufanyia kazi swala lakupunguza uzalishaji wa hewa chafu nchini.