Habari RFI-Ki - Baadhi ya Wakenya wachoshwa na masharti mapya ya kupambana na Covid 19

Share:

Listens: 0

Habari RFI-Ki

Miscellaneous


Baadhi ya mashirika ya kiraia nchini Kenya, yanatishia kuitisha maandamano kulalamilkia masharti mapya ya kupambana na Covid 19 kwa kile wanachosema maisha yanaendelea kuwa magumu kufuatia kufungwa kwa maeneo yanayowapa kipato kama yale ya burudani wakati huu Kaunti tano likiwemo jiji kuu Nairobi,zikifungwa. Unafikiri serikali ya Kenya inapaswa kubadilisha maamuzi yake ?