Habari RFI-Ki - Italia mabingwa wa soka barani Ulaya

Share:

Listens: 0

Habari RFI-Ki

Miscellaneous


Italia iliishinda Uingereza katika fainali dhidi ya Uingereza kuwania taji la soka barani Ulaya. Maoni yako ni yepi kuhusu ushindi huu na unazungumzia vipi mashindano haya ?