Habari RFI-Ki - Kuahirisha kwa uchaguzi nchini Somalia

Share:

Listens: 0

Habari RFI-Ki

Miscellaneous


Kwa mara nyingine nchi ya Somalia imetangaza kuahirisha uchaguzi wake ambao ulikuwa umeratibiwa kuanza siku ya Jumapili. Hatua hii inakuja baada ya juma lililopita, kundi la kiislamu la Al shabaab kuwaonya wanasiasa dhidi ya kushiriki katika uchaguzi huo. Nini maoni yako kuhusu hatua hii? Haya hapa maoni yako.