Habari RFI-Ki - Uganda na Tanzania zatiliana saini kujenga bomba la mafuta

Share:

Listens: 0

Habari RFI-Ki

Miscellaneous


Mataifa ya Tanzania na Uganda,yametiliana saini mkataba wa ujenzi wa bomba la usafirishaji wa mafuta ghafi. Nini maoni yako kuhusu hatua hii ? Na unadhani ujenzi huo utatengeza ajira ? Au utumike vipi kuleta nafasi za Kazi kwa wanaichi wa mataifa hayo ?