Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Chanjo dhidi ya Covid kuanza kutolewa nchini Kenya, watu 14 wauawa DRC

Share:

Listens: 0

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Miscellaneous


Makala ya juma hili imeangazia hatua ya kanisa katoliki nchini Kenya kuunga mkono jitihada za serikali katika kutoa chanjo ya Covid 19 kwa raia wake, kauli inayopingana na msimamo wa madaktari wa kanisa hilo waliowataka waumini wao kutochoma chanjo hiyo kauli inayopingana na msimamo wa madaktari wa kanisa hilo waliowataka waumini wao kutochoma chanjo hiyo, pia mapigano kati ya majeshi ya Rwanda na Burundi, pamoja na mauaji ya watu 14 huko Mambelenge DRC na mengine mengi.