Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - DRC yashuhudia wimbi la tatu la maambukizi ya corona, tahadhari yaongezeka

Share:

Listens: 0

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Miscellaneous


Makala ya wiki hii imeangazia kuhusu hatua ya serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kutangaza kutokea kwa wimbi la tatu la maambukizi ya virusi vya Corona katika taifa hilo, kufunguliza kwa mpaka wa Gatumba kati ya DRC na Burundi, na pia kukamatwa ka mwanablogu mwengine nchini Rwanda, pamoja na habari mseto za kimataifa. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi..