Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Kenya naTanzania zamaliza tofauti zao, Jeshi kuongoza Ituri na Kivu kaskazini huko DRC

Share:

Listens: 0

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Miscellaneous


Makala hii imeangazia hatua ya viongozi wa Kenya na Tanzania ya kuwahakikishia wafanyibiashara wa nchi hizo mbili kuimarisha mazingira ya kufanya biashara kati ya mataifa hayo jirani, wakati huko DRC rais Felix Tshisekedi aliwateua magavana wa Kijeshi kuongoza mikoa ya Kivu ya kaskazini na Ituri kama hatua ya kumaliza mauaji ya raia wa kawaida mashariki mwa Nchi hiyo, lakini pia siasa za Burundi, na ukanda wa Afrika na rubaa za kimataifa. Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kupata mengi zaidi.