Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Rais wa Uganda Yoweri Museveni aapishwa, mchakato wa BBI nchini Kenya wakwama

Share:

Listens: 0

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Miscellaneous


Makala hii imeangazia kuapishwa kwa rais wa Uganda Yowezi Museveni, nchini Kenya mchakato wa kuifanyia katiba mabadiliko wakwamishwa na mahakama kuu, kule Burundi tumemlikia hali ya usalama baada ya kutokea mashambulizi katika eneo la Muranvya, wakati nchini DRC magavana wa kijeshi wiki hii walianza kazi kwenye majimbo yaliyo chini ya hali ya dharura, utasikia mengi kutoka sehemu nyingine za dunia. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka B.S.