Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Ulimwengu wakaribisha christmas 2019, mauaji kuendelea mjini Beni DRC, uchaguzi nchini Israeli

Share:

Listens: 0

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Miscellaneous


Makala ya wiki hii imeangazia ulimwengu wa wakristo ulivyoikaribisha sikukuu ya krismas mwaka 2019, mwendelezo wa mauaji katika baadhi ya vijiji wilayani Beni mashariki mwa DRC, mazungumzo kuhusu upatikanaji wa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Sudan kusini, kurejelewa mwezi february mwakani, pia kuendelea kwa mgomo wa kitaifa nchini Ufaransa kufwatia mpango wa marekebisho ya mfumo wa pensheni