Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Umoja wa ulaya kuondoa vikwazo dhidi ya Burundi, Marais wa DRC na Rwanda wakutana, Goma DRC

Share:

Listens: 0

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Miscellaneous


Makala hii imeangazia mpango wa Umoja wa Ulaya kuiondolea vikwazo nchi ya Burundi, Waziri wa mambo ya nje wa Burundi Albert Shingiro na balozi wa Claude Bochu  waliendelea na mazungumzo ya kisiasa jijini Bujumbura, pia mkutano kati ya rais wa DRC Felix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame, katika eneo la mpakani, lakini siasa za Uganda, pamoja na mwanasiasa wa upinzani wa Tanzania Tundu Lisu alizindua kitabu chake akiwa jijini Nairobi, na mambo mengine yaliyojiri duniani. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi.