Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Wananchi wa Uganda wamchagua rais na wabunge wao, watu 40 wauawa huko Irumu nchini DRC

Share:

Listens: 0

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Miscellaneous


Yaliyojiri wiki Hii katika baadhi ya mataifa ya afrika kwanza ni Uchaguzi nchini Uganda ambako wananchi walimchagua rais na wabunge wao, mauaji kuendelea kushuhudiwa huko DRC, 40 wauawa Irumu kwenye jimbo la Ituri, Umoja wa mataifa walalamikia utovu wa usalama huko Jamhuri ya Afrika ya kati baada ya Uchaguzi, Wabunge nchini Marekani wakutana kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais Donald Trump.