Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Zaira ya rais wa DRC Felix Tshisekedi eneo la mashariki, kifo cha Kenneth kaunda Zambia

Share:

Listens: 0

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Miscellaneous


Makala ya wiki hii imeangazia ziara ya rais Felix Tshisekedi wa DRC katika eneo la mashariki ya nchi yake, lakini pia huko Zambia maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha rais wa zamani wa nchi hiyo Kenneth Kaunda, kuachiwa huru kwa wafuasi wa chama cha upinzani nchini Uganda cha NUP, pamoja na matukio mengine barani Afrika na pia mkutano wa rais wa Marekani Joe Biden na rais wa Urusi Vladmir Putin, nazo siasa za Israeli