Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Ziara ya rais wa Ufaransa nchini Rwanda, wakaazi wa Goma DRC wakimbia volkano juma hili

Share:

Listens: 0

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Miscellaneous


Makala ya wiki hii imezungumzia kuhusu ziara ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, nchini Rwanda, ziara inayolenga kufufua na kuboresha mahusiano ya kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili. Huko DRC wakaazi wa mjini Goma mashariki mwa taifa hilo walilazimika kuhamishwa baada ya gavana wa jeshi jenerali Constant Ndima kusema kuwa wataalamu wamemwambia kuna uwezekano wa kuwepo mlipuko wa pili, wakati Huko Burundi  milipuko ya guruneti na watu wasiojulikana, pia makala hii imegusia habari zilizojiri kwengineko duniani.