Taarifa ya Habari 1Juni 2021

Share:

Listens: 0

SBS Swahili - SBS Swahili

Miscellaneous


Mamlaka ya Afya jimboni Victoria, waongeza kasi kutambua walio jumuika na watu wenye virusi vya COVID-19, baada ya vipimo kufichua ongezeko ya visa vipya jimboni humo.